About Us

Dopa Smartphones ni wafanyabiashara wanaojihusisha na biashara za simu za aina zote iPhone, Samsung, Oppo, Infinix, Tecno, Nokia, Redme na nyingine nyingi.
Tuna matawi mengi Dar es Salaam; Mlimani City, Sinza Mori, Makumbusho, Kariakoo. Mikoani na nchi jirani pia simu tunatuma na usafiri ni bure.
Tunauza Simu mpya na used zenye hali nzuri na simu mpya zina warranty ya mwaka mzima na pia tunampa nafasi mtanzania kuweza kuuza simu kwenye hii website ukiwa popote pale Tanzania ukiwasiliana nasi kwa kusaidiana na mawakala wetu.
Unaweza fika ofisini kunununua simu kwa kuweka order hapa na kuweka makubaliano ya bei na pia tunafanya delivery sehemu husika ndani ya Dar na unapewa risiti na warranty yako. Tuna huduma ya ufundi na mafundi wetu ni wa uhakika na wabobezi shida yeyote ukipata wasiliana nasi.
Wasiliana na mmiliki moja kwa moja wa Dopa smartphones kabla na baada ya kufanya biashara au huduma yeyote maana ndo kinga yako shida yeyote ukipata atawajibika.
Whatsapp/piga 0654484636.

Uaminifu,Ubora,Usalama ndo misingi yetu.

Call Now Button