Discover the Difference Dr.William: "Nakumbuka nililipia pesa ya Sumsung note 1O+ Kwa njia ya benki,kutokana na ubusy wa kazi nikiwa tabora, sikuweza kufika dukani ila nilikuwa na amani muda wote kwa sababu nipo sehemu salama."