Own the latest one Dr.Akida Mwanyenza: "Asante sana kwa kunipa update kila toleo la mwisho la simu linapotoka,huwa napenda kwenda na wakati na mnanifanya nakuwa kwenye ubora wangu wakati wote."