Simu ya ndoto yako ipo hapa Ms.Rehema: "Nashukuru kwa kunipatia simu ya ndoto zangu ambapo niliipenda na kutamani kipindi nasoma ila nyie mmefanya ndoto yangu kutimia,Asanteni."